


Consultation · Civil Works
Michoro na ushauri wa kitaalamu
Tuma ombi lako, wataalamu wetu wanakuandalia michoro na makadirio ya gharama.
Architectural
Ramani za nyumba: mpangilio, sura na vipimo.
Structural
Msingi, nguzo, bimu na slabu salama.
Services (MEP)
Umeme, maji safi, maji taka na hewa.
BOQ
Makadirio ya vifaa na gharama za ujenzi.
Hatua: 1. Jaza fomu → 2. Unapokea bei na control number → 3. Unalipia → 4. Unapokea michoro kwenye dashboard yako.