
Kuhusu Sisi
Watu walio nyuma ya UJENZI 25 na kile tunachosimamia.
Timu yetu

Eng. Vency Adam Lema
Founder
Eng. Walter Heliamin Mghase
Head of Engineering
Mashalla Charles Mashalla
Chief Architect

Eng. Magesa Redenatus Mashauri
Operations

Jinsi tunavyofanya kazi
Timu ya UJENZI 25 inaundwa na wahandisi, wasanifu majengo na wataalamu wa uendeshaji wenye uzoefu katika miradi ya ujenzi Tanzania. Tunashirikiana kuanzia hatua ya michoro na makadirio (BOQ), usimamizi wa ujenzi, hadi kukabidhi mradi — tukihakikisha ubora, uwazi wa gharama na usalama kwa kila mteja.
Vision (Maono)
Kuwa jukwaa namba moja Afrika Mashariki kwa huduma za ujenzi na makazi zinazoaminika.
Mission (Dhamira)
Kutoa jukwaa la kidijitali linaloaminika linalomuunganisha mteja na wataalamu waliothibitishwa wa ujenzi, mali isiyohamishika na malazi kote Tanzania — kwa urahisi, uwazi na ufanisi.